
Mtaalam wa virutubisho tiba, Abdallah Mandai, amefichua tiba ya degedege kuwa ni unga wa haradali.
Amesema kijiko cha unga wa haradali kichanganywe kwenye lita tano za maji moto na baada ya kupoa aogeshwe mgonjwa.
Mtaalam Mandai amefichua hilo leo Aprili 26, 2022, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni kawaida yake kila siku kuzungumzia magonjwa mbalimbali yanayoikumba jamii na namna ya kukabiliana nayo.
“Mwogeshe maji hayo mara tatu kwa siku kwa maana ya asubuhi, mchana na jioni. Ili kupata matokeo bora ya afya ya mgonjwa, tumia mfululizo muda wa siku tano,” amebainisha.
Aidha, amesema kwa mwenye tatizo lolote la kiafya, anaweza kwenda kwenye kituo chake cha kutolea huduma za afya, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane naye kwa simu 0745900600.
