Rais Samia Suluhu Hassan (Kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kufika Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 16, 2022.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 16, 2022.