Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo (mwenye nguo ya njano katikati), akioneshwa mahala ambapo Mama Maria Nyerere alisaini Kitabu cha Kumbukumbu Mei 7, 1963 mara baada ya kutembelea Jumba la Makumbusho Gitega.
Anayemwonesha ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD, Ntakarutimana Joseph.
Chongolo anakuwa kiongozi wa pili kutembelea jumba la makumbusho Gitega, nchini Burundi.