Wateuliwa na Rais Samia kuwa wabunge Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo kikatiba amewateua watanzania sita wafuatao kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hawa ni Dkt Bashiru Ally Kakurwa, Ndugu Abdullah Ali Hassan Mwinyi
Wengine ni Dkt Rhino Nyansaho, Ndugu Balozi Khamis Mussa Omar, Ndugu Balozi Mahamoud Thabit Kombo, Dkt Dorothy Gwajima.
