Je, unajua kuwa mgaganj unasaidia kuongeza damu mwilini?.
Ngoja nikuelezee kwa ufupi, huenda utajifunza kitu.
Mgagani ni mmea ambao mara nyingi unaota wenyewe jirani na makazi ya watu kipindi cha masika.
Mmea huu miongoni mwa wanaoufahamu wanautumia kama mboga. Bila shaka wengi hawajui faida zake.
~Ukichemsha majani ya mgagani kwa muda mfupi na kula yanasaidia kuongeza wingi wa damu kwa haraka.
~Pia ukitengeneza juisi nzito ya majani ya mmea huu kunywa glasi moja asubuhi na nyingine jioni inasaidia kuondoa maumivu ya fizi na meno.
~Kula mboga hii ya mgagani itakusaidia kuongezea vitamini kwa wingi katika mwili wako.
Watafiti wanasema kuwa, Familia inayokula mgagani mara nyingi inakuwa yenye furaha na iliyochangamka.
~Ikiwa una jeraha ponda majani ya mgagani kamulia majimaji yake, kidonda kitapona kwa haraka zaidi.
Mmea huu umekuwa ukitumika kama mboga na dawa tangu enzi za mababu.
Kwa ufafanuzi wa jambo lolote unaweza kumpigia Mtaalam Abdallah Mandai kwa namba 0745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com, au tembelea tovuti yetu kwa anuani ya www.dkmandai.com kwa kusoma makala za afya zilizosheheni madini ya elimu ya afya ya kutosha.
