SIMIYU
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Kenani Kihongosi amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu Agosti 27,2024 katika kijiji cha Mwaswale kilichopo Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu alipokuwa akisikiliza na kutatua changamoto za wanakijiji wa Mwaswale.
Aidha, Mhe Kihongosi amewataka wananchi kuliamini Jeshi la Polisi na kulipatia ushirikiano katika kutatua changamoto za kiusalama katika mazingira yao.
