
Kuungua moto ni tatizo linalomkumba mtu bila kutarajia. Mara nyingi vidonda vinavyotokana na kuungua moto ni vyenye maumivu makali. Tatizo la kuungua, mwathiriwa anaweza kuathirika sehemu kubwa ya mwili wake au ndogo.
Namna yoyote ambayo mtu anayoungua ni vema atumie tiba ya haraka. Tumia muarobaini. Ponda majani ya mmea huo hadi yawe laini kabisa, changanya na mafuta ya karanga au ufuta.
Bandika mchanganyiko huo sehemu yote iliyoungua. Endelea na tiba hiyo kila siku hadi kidonda kitakapo pona.
Ikiwa majani ya muarobaini kwenye eneo unaloishi hakuna, tumia ndizi iliyowiva. Iponde vizuri, paka urojo wake sehemu yote uliyoungua kisha bandika jani la mgomba kama bandeji. Fanya hivyo kila siku hadi kidonda kitakapo pona.
Ikiwa una tatizo lolote la kiafya, karibu kwenye kituo chetu cha kutolea huduma za afya Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam. Acha kuendelea kuteseka kwa maradhi yaliyoshindikana.
Tuna mjali mgonjwa yeyote, tunatumia tiba lishe na virutubisho asili kukabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya zinazomsumbua binadamu.
Pia unaweza kunipigia kwa 0745900600 iwapo unataka ufafanuzi wa jambo au namna ya kufika katika kituo chetu. Au niandikie kupitia barua pepe dkmandaitz@gmail.com. Au tembelea tovuti yetu kwa anuani ya www.dkmandai.com utajifunza mambo mengi yanayohusu afya yako.
