Kwato za ng’ombe ni miguu ya ng’ombe ambayo ipo minne.
Watu wengi wamezoea kutumia kwato za ng’ombe kama sehemu ya chakula ambapo hutumiwa zaidi kama supu.
Kwato za ng’ombe zikipikwa pamoja na mizizi au magome ya mwembe zinasaidia kukabili matatizo ya miguu kuwaka moto, kufa ganzi, kuvimba na maumivu katika magoti.
-Chemsha pamoja kisha kunywa supu yake asubuhi na jioni
au
-unaweza kukausha magome ya mwembe kisha saga unga utumie katika kwato zinapokuwa tayari kuliwa.
~Kwato unazotakiwa kutengeneza supu ni zile za miguu ya nyuma na si vinginevyo.
~Pembe za ng’ombe nazo ni dawa nzuri ya kutibu kidonda kibichi.
Namna ya kutumia:
Unguza pembe ya ng’ombe kisha unga wake nyunyiza juu ya kidonda kitapona kwa haraka zaidi.
~Unga huo pia unaweza kutumia kuondoa sumu ya nyoka mwilini.
Namna ya kutumia:
Mchanje mgonjwa sehemu aliyong’atwa na mdudu huyo kisha mpake unga huo.
Tiba Nyingine
Katika kurasa nyingine tumejadili magonjwa mbalimbali ikiwemo Moyo kutanuka, kwikwi na tatizo la kukosa usingizi, na mengineyo mengi.
Ndugu msomaji, uwe huru kuuliza maswali au kutoa maoni yako kuhusu makala hii. Na ikiwa una changamoto yoyote mpigie Mtaalam kwa namba 0745 900600 na utajibiwa kwa wakati muafaka.
