Rais Samia Suluhu Hassan akipokea saluti baada ya kumvalisha Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza (SACP), Mzee Ramadhani Nyamka Cheo kipya cha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma jana Agosti 29, 2022.Rais Samia Suluhu Hassan akimwapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Mzee Ramadhani Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi hilo jana Agosti 29, 2022, katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Mzee Ramadhani Nyamka mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, jana Agosti 29, 2022.