Je, unajua kama mchanganyiko wa mbegu za maboga na ngano iliyosagwa ni tiba ya magonjwa na maumivu mbalimbali mwilini.
Akizungumza na wanahabari mtaalam wa mimea tiba Abdallah Mandai alitoa maelekezo ya namna ya kuandaa dawa kwa kutumia mbegu za maboga na ngano iliyosagwa.
~Chukua mbegu za maboga pamoja na ngano iliyosagwa changanya.
~Chukua mchanganyiko huo na uchanganye kwenye maji ya moto au uji wa moto kisha unywe.
Tumia dawa hii kwa muda wa siku 14 au mwezi mzima na hakika utaona mabadiliko.
Dawa hii ni tiba kwa wenye matatizo ya mgongo, mwili kuuma, kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa ubora, maumivu kwa wanawake wakati wa hedhi, na matatizo ya magoti.
Tiba nyingine.
Katika makala zingine tumezungumzia tiba za magonjwa mbalimbali kama vile kwikwi, vidonda vya tumbo, moyo kutanuka, bawasiri, tatizo la kukosa usingizi na miguu kuwaka moto na mengineyo mengi.
Ikiwa una changamoto yoyote ya kiafya wasiliana na mtaalam Abdallah Mandai kupitia namba 0745 900600 na hakika utajibiwa kwa wakati muafaka.
