Rais Samia Suluhu Hassani leo amepiga kura Jimbo la Chamwino Dodoma kuchagua mwenyekiti wa serikali za mitaa, zoezi linalofanyika nchi nzima.
Ni zoezi la siku moja tu ambalo litafungwa saa kumi jioni nchi nzima.. Viongozi wote wa kitaifa wa chama na serikali wameonekana wakipiga kura sehemu mbalimbali.
