Majani ya mchaichai, yanayojulikana kwa jina la kisayansi “fresh lemongrass tea” ni majani ambayo yana virutubisho vingi na yanafaida nyingi kwa afya ya binadamu.
Virutubisho vinavyopatikana kwenye Majani ya mchaichai ni kama vifuatavyo:
- Vitamini: Ni chanzo kizuri cha vitamini A, C, na E.
- Madini: Yana madini muhimu kama kalsiamu, chuma, potasiamu, na magnesiamu.
- Protini: Yanajumuisha asilimia kubwa ya protini, ambayo ni muhimu kwa ukuaji na ukarabati wa mwili.
- Antioxidants: Yana viambato vinavyopambana na uharibifu wa seli kutokana na radicals huru.
Faida za Majani ya Mchaichai
- Kuwa na nguvu na kuimarisha mfumo wa kinga, kwa kupitia Virutubisho vyake vinaweza kusaidia kuongeza kinga ya mwili.
- Kusaidia katika usawa wa sukari kwa kusaidia kudhibiti viwango vya sukari katika damu.
- Kujenga mifupa yenye afya: Kalsiamu na madini mengine yanaweza kusaidia kuimarisha mifupa. Pia Ina sifa za kupunguza uvimbe na maumivu.
Matumizi ya Majani ya Mchaichai
- Kunywa chai: Majani ya mchaichai yanaweza kutumika kuandaa chai ambapo huwa kama kiungo kinachoongeza ladha kwenye chai.
- Vidonge vya virutubisho: Yanapatikana kwenye mfumo wa vidonge au poda inayoweza kuchanganywa na vinywaji mbalimbali.
- Matumizi ya ngozi: Yanatumika katika bidhaa za urembo na matibabu ya ngozi kwa sababu ya sifa zake za kupambana na viambato vya kuwa na mzio.
Katika kurasa zetu Kuna makala mbalimbali zikielezea jinsi ambavyo unaweza kutumia tunda au majani yake pia mizizi katika tiba ya magonjwa mbalimbali mwilini ikiwemo Bawasiri, kwikwi na tatizo la kukosa usingizi,tatizo la nyonga na Koo pia na mengineyo mengi.
Ndugu msomaji, uwe huru kuuliza maswali au kutoa maoni yako kuhusu makala hii. Na ikiwa una changamoto yoyote mpigie Mtaalam kwa namba 0745 900600 na utajibiwa kwa wakati muafaka.
