Unapoongelea chuma ulete ni kitu ambacho kipo sana mitaani na baadhi ya watu kuona kama labda ni mambo na maneno ya kiswahili au watu wasio na elimu na maarifa.
Je! uhalisia wake upoje??
Inasemekana kuwa “Chuma ulete” ni aina ya wizi ambao hutia hasira na hasara katika maisha na kazi mbalimbali za kimaendeleo, kwani huwa wanatumika aina ya majini ambao wamefunga mikataba na binadamu wenye imani ya kishirikina au maarufu wachawi
Mtaalamu Abdallah Mandai anatoa ufafanuzi kuhusiana na Chuma ulete na namna ya kuuepuka.
DALILI ZA MTU MWENYE KUFANYIWA CHUMA ULETE
(1). Kufanya biashara na lakini mwishoni ukifanya hesabu hukuta hasara badala ya faida.
(2). Kuuza bidhaa kidogo lakini huona zimepungua kwa kiasi kikubwa.
(3). kujihisi ghafla umepoteza pesa kabla hata hujaiangalia na ukihakiki unakuta hasara.
(4). kuzidisha msingi lakini kila siku hupata hasara inayo fanana.
(5). kusikia usingizi mkali ghafla au baada ya kumuudumia mtu.
NAMNA YA KUONDOA CHUMAULETE.
Mahitaji:
Mafuta ya Kitunguu swaumu
Mafuta ya Mdalasini
Mafuta ya Mchaichai
Chumvi punje Saba
Namna ya kuandaa:
-Chukua chumvi kisha weka kwenye mafuta na uchanganye.
-Chukua mafuta hayo na uweke kwenye ndoo ya hela.
Kwa msaada au maelekezo zaidi Mtaalam Abdallah Mandai anapatikana wakati wote kwa kupiga namba 0745 900600.
