Je! unajua, juisi ya mchanganyiko wa karoti, tufaa na kabichi ni tiba katika kusafisha Figo na Ini.
Mtaalam Abdallah Mandai ambae ni mbobezi wa masuala ya tiba ya asili ametoa maelezo ya namna ya kuandaa dawa hiyo.
Mahitaji:
karoti
Tufaa (apple)
kabichi nyekundu(cabbage)
Namna ya kuandaa:
Chukua mahitaji hayo na saga kwa pamoja kicha changanya mchanganyiko huo vizuri.
Kipimo cha dawa:
Tumia kipimo cha glass 1 kila siku asubuhi, mchana na jioni.
Muda wa dozi:
Tumia dozi hiyo kwa muda wa siku 21 au mwezi mzima.
Je, tiba hii Ina faida gani.
Mchanganyiko huo unasaidia kuupa mwili nguvu na kusafisha Figo pamoja na Ini.
ANGALIZO:
Tiba hii inaweza kutumika kama huduma ya kwanza au kwa mgonjwa ambaye hajaathiriwa Sana na tatizo hilo.
Tiba Nyingine
Katika kurasa nyingine tumejadili magonjwa mbalimbali ikiwemo Bawasiri, kwikwi na tatizo la kukosa usingizi, na mengineyo mengi.
Ndugu msomaji, uwe huru kuuliza maswali au kutoa maoni yako kuhusu makala hii. Na ikiwa una changamoto yoyote mpigie Mtaalam kwa namba 0745 900600 na utajibiwa kwa wakati muafaka.
