.
Bawasiri ni uvimbe unaoota ndani /au kuzunguka tundu la kutolea haja kubwa.
Dalili za bawasiri hutofautiana. Wakati mwingine hakuna dalili zinazojitokeza na mtu anaweza asijue kuwa ana bawasiri.
Dalili ya kawaida kabisa ni kutokwa na damu wakati ukienda kujisaidia haja kubwa. Damu huonekana iliyo mbichi, nyekundu, juu ya toilet tissue, kwenye sahani ya choo au ikiwa imekizunguka kinyesi.
MANDAI ONLINE TV iliwasiliana na mtaalamu wa Tiba Asili Abdallah Mandai ili kujua zaidi kuhusu bawasiri na njia za matibabu yao.
Mtaalam Abdallah Mandai alisema kuwa, mishipa ya damu katika eneo la haja kubwa inapopata maumivu, tunaiita thrush.
Mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa huuma inapopata shinikizo kubwa, hii ni kutokana na mgandamizo mkubwa wakati wa kutoa haja kubwa, kuchukua muda mrefu kwenda haja kubwa, na kukosa choo kwa muda mrefu.”
“Vilevile kutokana na matatizo ya mara kwa mara ya kuhara, uzito mkubwa, kula kiasi kidogo cha vyakula vya nyuzi na maji, na kuinua vitu vizito wakati wa mazoezi, eneo la njia ya haja kubwa hupata shinikizo zaidi.”
NAMNA YA KUTIBU.r
Mahitaji:
Kabichi
Mafuta ya mzaituni
Mafuta ya Mdalasini
Mafuta ya Kitunguu swaumu.
Hatua ya kwanza.rr
Chukua kabichi kata vipandevipande kisha chemsha na ukalie maji yake.
Hatua ya pili.
Chukua mafuta yote na uchanganye pamoja Kisha upake eneo lenye changamoto.
ANGALIZO:
Tiba hii ni kwa huduma ya kwanza, na ikiwa utahitaji tiba ya kutibu kabisa wasiliana na Mtaalam Abdallah Mandai kwa huduma zaidi kupitia namba 0745 900600
Tiba Nyingine
Katika kurasa nyingine tumejadili magonjwa mbalimbali ikiwemo Kwikwi na tatizo la Koo na mengineyo mengi.
Ndugu msomaji, uwe huru kuuliza maswali au kutoa maoni yako kuhusu makala hii. Na ikiwa una changarmoto yoyote mpigie Mtaalam kwa namba 0745 900600 na utajibiwa kwa wakati mwafaka.
