Na Elvan Stambuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia akiwa leo Juni 17, 2024 aswali swala ya Sala ya Eid Al Adha pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam
Sikukuu hiyo imeadhimishwa sehemu mbalimbali duniani na ilikuwa maalum kwa waislamu ambapo inaitwa sikukuu ya kuchinja wanyama wenye miguu minne. .
