Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho, iliyokutana jana Oktoba 03,2021, Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma.